WCF YAJIVUNIA MAFANIKIO LUKUKI CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt.John Mduma akijibu maswali ya Wahariri na waandishi wa Habari kuhusiana mafanikio vya WCF katika kipindi cha Miaka minne ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan. Afisa Habari Mwandamizi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Sabato Kosuri akitoa maelezo kuhusiana na utaratibu wa mikutano kati ya wahariri na Taasisi za Umma zilizo chini…