
Mgaya Ally atimkia Oman | Mwanaspoti
BAADA ya kuitumikia Coastal Union kwa msimu mmoja, straika wa Kitanzania, Mgaya Ally amesema ni muda wa kuendelea kutafuta changamoto sehemu nyingine akitimkia Salalah SC ya Oman kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo alijiunga na Wagosi wa Kaya wakati wa dirisha dogo la usajili akitokea FleetWoods Falme za Uarabu, UAE alikocheza kwa misimu miwili….