Badili mazingira kuacha tabia usiyoipenda
Nilipoanza mkakati wa kuacha kutia sukari kwenye chai au kahawa, haikuwa kazi nyepesi. Kwa muda mrefu, kitendo cha kujaribu kuacha kilikuwa kama adhabu fulani hivi kwangu. Ningeweza, mathalani, kujitahidi kuacha sukari kwa siku kadhaa lakini baadae ningejikuta nikijiambia, ‘acha nitumie sukari leo kwa mara ya mwisho. Kesho nitaendelea na mpango wangu.’ Haikuwa sukari pekee. Kwa…