Sababu mjamzito kuhisi baridi kali wakati, baada ya kujifungua

Dodoma. Suala la kupata mtoto ni jambo linalomfurahisha kila mwanamke, lakini ikumbukwe kwamba furaha hiyo hutokana na mapito kadhaa wakati wa ujauzito wake. Lakini cha kufurahisha, mama akishajifungua, basi husahau magumu yote aliyopitia tangu kubeba ujauzito mpaka kufikia hatua ngumu zaidi ya kujifungua mtoto wake. Mwananchi imezungumza na baadhi ya wanawake kutaka kufahamu ni hali…

Read More

Mtaalamu wa kemia kiongozi mpya Hezbollah

  Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah aliuawa mwishoni mwa Septemba, baada ya uvamizi wa Israel ambao ulilenga makao makuu ya Hezbollah yaliyopo Kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Naim…

Read More

Mgunda aanza kuhesabu, Simba ikibakisha nne

KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mgunda alianza kwa sare ya mabao 2-2 akiwa Ruangwa mkoani Lindi mbele ya Namungo katika mchezo wake…

Read More

Upatikanaji fedha kikwazo utekelezaji mtalaa mpya

Unguja. Kukosekana fedha imeelezwa kuwa miongoni mwa changamoto ya utekelezaji kwa vitendo mtalaa mpya na uandaaji wa umahiri wa wanafunzi Zanzibar. Hali hiyo imesababisha vitabu kuchelewa kupatikana hivyo kusababisha kudorora kwa huduma za mafunzo. Hayo yameelezwa leo Novemba 29, 2024 na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Abdugulam Hussein wakati wa mkutano…

Read More

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA79 – MWANAHARAKATI MZALENDO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini Alhamisi, Septemba 19, 2024 kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79). Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20-26, 2024, utafanyika jijini New York, Marekani ambapo masuala ya kiuchumi, biashara, nishati, siasa, mazingira, afya, vijana na…

Read More