Wanne wafariki Monduli kwa mafuriko
Arusha. Watu wanne wamefariki dunia wilayani Monduli mkoani Arusha kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo. Mafuriko hayo pia yamesababisha uharibifu wa miundombinu na mali za wanafunzi katika Shule ya Msingi Engaruka Juu, hali iliyosababisha shule hiyo kufungwa kwa muda. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Machi 15, 2026, Mkuu wa Wilaya ya Monduli,…