
Waziri Silaa avunja bodi ya TTCL
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amevunja bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) baada ya mwenyekiti wake kutenguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Julai 23, 2024. Bodi hiyo imevunjwa jana Agosti 2, 2024 na waziri huyo kutokana na mamlaka aliyonayo. Taarifa ya kuvunjwa bodi hiyo imetolewa leo…