JKT, Polisi nusu fainali ya kibabe

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Cecafa kwa wanawake, JKT Queens Septemba 14 saa 9 jioni kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi, Kenya itakuwa na kibarua cha kufuzu fainali ya michuano hiyo ikiivaa Polisi ya Kenya. Kabla ya mechi hiyo itatanguliwa na nusu fainali ya kwanza kati ya Rayon Sports Women ya Rwanda na Kampala…

Read More

Sasa Kipigwe! Ecua apagawa, Simba kambini kunapikwa

SASA kipigwe! Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya Simba na Yanga kumaliza ratiba za matamasha yao yaani Simba Day na Wiki ya Mwananchi mtawalia, huku kila upande sasa ukijifungia kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa keshokutwa, Jumanne, Septemba 16. Simba ndiyo walioanza kuliamsha na Simba Day Jumatano, Septemba 10 wakifuatiwa…

Read More

Bado Watatu – 28 | Mwanaspoti

KAMA ningetambua mapema kuwa mauaji yale yalifanywa na mwizi, nisingepata usumbufu wa kuificha ile maiti na kwenda kuitupa. Ningeripoti polisi na nisingepatwa na tatizo lolote.Hapo hapo nikakumbuka kwamba mtu aliyeuawa alikuwa mume wa mtu, na aliuawa nyumbani kwangu usiku wa manane wakati mimi niliyekuwa naye ni mke wa mtu! Je, kama ningeripoti polisi, nini kingetokea?…

Read More

Peace Solution Tanzania Yajipanga Kulinda Amani ya Taifa

Taasisi ya Peace Solution Tanzania (PST) imeendesha mafunzo kwa maofisa wake jijini Dar es Salaam leo, Septemba 13, 2025, kwa lengo la kuwajengea uwezo kabla ya kwenda kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kuilinda na kuienzi amani ya nchi. Akizungumza katika kikao hicho cha kitaifa, Kamishna Mkuu wa PST, Dkt. Meshack Stanley Chiburwa, alisema kuna baadhi…

Read More

MAELFU WAJITOKEZA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA ITWANGI

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Itwangi CCM Azza Hillal Hamad akinadi sera kwa wananchi.Wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Itwangi mkoani Shinyanga Mgombea Ubunge wa Jimbo la Itwangi CCM Azza Hillal Hamad akinadi sera kwa wananchi, kulia ni Mgeni rasmi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) Munde Tambwe Na…

Read More