Mchengerewa azipa kibarua halmashauri 45

Mbeya. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Mohamed Mchengerwa ameagiza halmashauri 45  zilizopitiwa na mradi wa Uboreshaji wa Miji Tanzania (Tactic), kujiendesha kupitia masoko na vituo vya mabasi ili kuongeza mapato. Mchengerwa ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Julai 27, 2024 mkoani hapa wakati akishuhudia utiaji saini ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi eneo…

Read More

Sababu Papa Francis kuzikwa tofauti na wenzake 91

Kwa mujibu wa taratibu za Kanisa Katoliki mazishi ya Papa hufanyika siku ya 4 hadi 6 baada ya kifo chake. Sehemu kubwa ya maziko ya papa huwa anayapanga mwenyewe na kumwachia Kardinali Carmelengo jukumu la kutekeleza. Baada ya kufa mwili hukabidhiwa familia ya Signoracci kwa ajili ya kuandaa mwili kwa ajili ya maziko. Mwili wa…

Read More

IGP WAMBURA AKUTANA NA RC MTAKA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Mei 28,2024 ambapo waliweza kujadiliana masuala mbalimbali hususani eneo la usalama katika Mkoa huo wa Njombe. IGP Wambura amefanya ziara ya kikazi mkoani humo na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo…

Read More

Wakulima walia bei ya kakao ikiporomoka

Mbeya. Wakati wakulima wa kakao Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wakishtushwa kushuka kwa bei ya zao hilo, wameiombwa Serikali kuboresha Mfumo wa Soko na Bidhaa (TMX) ili kumsaidia mkulima kunufaika. Bei ya kakao ilikuwa imepanda hadi kufikia Sh32,171 kwa kilo moja kwa msimu wa kilimo 2023/24 na kwa mnada uliofanyika jana Jumatatu Septemba 2, 2024…

Read More

WAFUNGWA NA MAHABUSU KUSIKILIZA KESI KWA MAHAKAMA MTANDAO

:::::::: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao wakiwa magerezani kupitia Mahakama Mtandao, hasa kunapokuwepo na viashiria vya matishio ya kiusalama, ili kudumisha amani na kulinda usalama wa raia na mali zao. Ameeleza kuwa…

Read More

NONGA: Nilicheza nikiwa na msiba wa baba

WAKATI mwingine ni ngumu kuamini, lakini ndivyo ukweli ulivyo. Kuna watu huwa wanakumbwa na majanga, lakini kwa sababu maalumu, hufichwa kwanza ili kutekeleza jambo, kisha huja kuambiwa baadae. Hivi ndivyo ilivyowahi kumkumba nyota wa zamani wa JKT Oljoro, Mbeya City, Yanga, Mwadui, Lipuli na Gwambina, Paul Nonga ‘Mtumishi’. Nonga aliyestaafishwa kwa lazima kucheza soka licha…

Read More