
TANZANIA YAPATA SOKO LA KIMKAKATI LA ASALI UCHINA.
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Tanzania na China leo zimesaini Itifaki ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China huku Serikali ya Tanzania ikitoa wito kwa watanzania kuchangamkia fursa ya kuzalisha asali yenye ubora kwa wingi ili kuinua vipato vyao na uchumi wa taifa kwa ujumla. Soko la China lina zaidi ya watu bilioni 1.4…