
WAZIRI MAVUNDE ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA WIZARA- MTUMBA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa ameridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Madini unaoendelea katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma na kwamba, matarajio yake ni kuona mradi huo unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unakamilika kwa wakati….