DK.SAMIA AWEKA MKAKATI WA KUIREJESHA TANGA YA VIWANDA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tanga MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema endapo akipewa ridhaa ya kuliongoza Taifa, amedhamiria kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa wa viwanda. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 29,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi katika mkutano huo uliofanyika katika Uiwanja vya Usagara mkoani Tanga ambapo…