Dorothy Semu asimulia walivyozuiwa kwa saa nane Angola
Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema alishtuka baada ya kuona wanatengwa kwa makundi baada ya kuzuiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro jijini Luanda, Angola. Semu, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu walizuiwa na…