WITO WATOLEWA KWA WADAU KUENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA LISHE NCHINI

:::::: NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt. Germana Leyna ametoa wito kwa wadu wa masuala ya lishe nchini kuendelea kuunga mkono jitihada za kupambana na changamoto zinazokabili masuala ya Lishe huku akisema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabili changamoto hizo kwa kuwa na mikakati madhubuti….

Read More

MHANDISI MUTASINGWA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE BUKOBA MJINI, AAHIDI KUTEKELEZA MURADI YA WATANGULIZI WAKE

Na Diana Byera, Bukoba. MGOMBEA ubunge Jimbo la Bukoba mjini Mhandisi Johnston Mutasingwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo huku akiahidi kutekeleza miradi mikubwa yote iliyoachwa na watangulizi wake Akizungumza baada wa kuchukua fomu hiyo Mhandisi Mutasingwa amewataka Wanaccm kuwa wamoja na kuvunja makundi yote ili washirikiane kunadi sera za…

Read More

Kocha Yanga apata shavu Morocco

ALIYEKUWA kocha wa viungo wa Yanga, Taibi Lagrouni amejiunga na kikosi cha Olympique de Safi cha Morocco baada ya mtaalamu huyo kuondoka kwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025 kutokana na mkataba wake kumalizika. Lagrouni alijiunga na Yanga Julai 18, 2023 na kukitumikia kikosi hicho kwa mkataba wa miaka miwili, ambapo…

Read More

Ushirikiano wa Kampuni Tatu Kuleta Huduma za Afya za Kimataifa Tanzania

Na Mwandishi Wetu WATANZANIA wanatarajiwa kunufaika na huduma za afya za kimataifa kufuatia ushirikiano wa kimkakati kati ya AXA Health International, Alliance Insurance Corporation Limited na MIC Global Risk Tanzania Ltd, hatua inayolenga kupanua upatikanaji wa bima ya afya ya kimataifa pamoja na matibabu maalum nje ya nchi. Kupitia ushirikiano huo, kampuni hizo tatu zimeunganisha…

Read More

Raizin ataka 10 zaidi Bara

MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Raizin Hafidh amesema malengo aliyojiwekea msimu huu katika kikosi hicho ni kufunga zaidi ya mabao 10, huku akidai endapo atatimiza hayo itakuwa ni njia nzuri kwake kuwa na mwendelezo mzuri. Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa sehemu ya kuirudisha Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara alimaliza Championship akiwa kinara wa upachikaji wa mabao…

Read More

TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24, 2026 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) kwa niaba ya…

Read More