Pedro aanika mikakati ya kuivaa Al Ahly, ataja mambo mawili
YANGA imetua nchini Misri tayari kwa dakika 90 ngumu dhidi ya Al Ahly, lakini kabla ya kupaa kutoka Dar es Salaam, kocha Pedro Goncalves ametamka maneno mawili ambayo yatawafurahisha mashabiki wa timu hiyo akisema timu ya kutafuta ushindi wanayo, huku akitaka ushindi au sare ugenini. …