Kasi ya mikopo inapungua, sekta nyingine zinakua
Dar es Salaam. Wakati ukuaji wa mikopo kwa shughuli za kiuchumi ukiendelea kuwa chanya, takwimu mpya zinaonesha kasi yake inapungua, huku baadhi ya sekta zikionekana kupata mwendo wa kasi na nyingine zikibaki nyuma. Takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonesha kuwa katika mwaka ulioishia, mikopo kwa sekta binafsi ilikua kwa asilimia 15.9, ikipungua kutoka…