Mwili waopolewa Ziwa Victoria, polisi wahusishwa

Muleba. Familia ya Baraka Lucas aliyekutwa amekufa, mwili ukielea juu ya maji katika Ziwa Victoria, imegoma kuuzika ikitaka Jeshi la Polisi kueleza chanzo cha kifo chake. Lucas (20), mwili wake umekutwa ziwani katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba, mkoani Kagera. Kijana huyo aliyekuwa akifanya kazi ya kubeba dagaa wabichi katika mwalo kisiwani hapo, mwili wake…

Read More

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza biashara

Biashara ndogondogo zinaonekana kuwa mkombozi kwa watu wengi linapokuja suala la kupata ajira na kipato. Hata hivyo, kuanzisha na kuendeleza biashara ndogondogo si jambo jepesi. Bila kuzingatia mambo haya ni rahisi kwa biashara kufa ama kutopata mafanikio. Asilimia kubwa ya wale ambao wapo kwenye biashara wanadhani kuwa mtaji ama kuwa na kiasi fulani cha fedha…

Read More

Itumie Mei mosi kutafakari mshahara wako

Leo ni Sikukuu ya Wafanyakazi, siku ya mapumziko na fursa ya kutafakari malipo yanayotokana na kazi yetu, mshahara. Sikukuu hii inatukumbusha kusherehekea michango ya wafanyakazi na kutathmini fedha zetu za kibinafsi, ikiwa ni pamoja na mshahara, nyongeza zinazowezekana, na namna ambavyo tunaweza kujiongeza kwa mapato ya mshahara. Unapaswa kujiuliza maswali kadhaa, mathalani; Je, unatumiaje mshahara…

Read More

Sababu madini ya vito kuporomoka

Dar es Salaam. Kubadilika kwa soko, hali ya kiuchumi na mvua nyingi, zinatajwa kuwa sababu za kushuka kwa thamani ya madini ya vito. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya hali wa kikanda ya Desemba 2023. Ripoti inataja almasi, tanzanite na madini mengine ya vito kuwa  mauzo yake yameshuka kwa zaidi ya asilimia…

Read More

Kihongosi apiga marufuku ‘miradi kichefuchefu’ Monduli

Monduli. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenan Kihongosi ameonya wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali wilayani Monduli kutokuwa wazembe na kuwa kusiwepo miradi ‘kichefuchefu’ wilayani humo. Amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama kwani vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanakuwa salama na wamekuwa wakijitoa kuhakikisha Taifa linakuwa salama. Kihongosi ameyasema hayo leo…

Read More