
Dk Nchimbi: Tutaziunganisha kaya zote na umeme
Kilimanjaro. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema, shabaha ya chama hicho miaka mitano ijayo ni kuhakikisha kaya zote nchini zinaunganishwa na umeme ili kuchochea maendeleo ya wananchi. Dk Nchimbi amesema hayo leo Jumamosi, Septemba 13, 2025 katika mikutano ya kampeni ya uchaguzi mkuu kwenye baadhi ya majimbo mkoani…