Kumekucha Yanga, mastaa sita Kuachwa
BAADA ya Yanga Princess kuonyesha kiwango kizuri msimu huu, itaachana na wachezaji sita na kuongeza nyota wapya. Nyota hao ni Danai Bhobho ambaye alitumikia Yanga kwa msimu mmoja akitokea Simba Queens, Rebeca Ajimida kutokea Nigeria ambaye hakupata nafasi ya kucheza kikosini hapo. Neema Paul aliyemaliza mfungaji bora kikosini hapo akiweka kambani mabao 12 sawa na…