Mbowe kuachia uenyekiti wa Chadema kwa Lissu? – DW – 18.12.2024
Mbowe ameyasema hayo Jumatano mara baada ya kundi la wafuasi wa chama hicho wakiwamo wenyeviti wa mikoa kukusanyika nyumbani kwake na kumsihi kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo. Atagombea au hatagombea, hilo ndilo swali linalotikisa mioyo ya watanzania na wafuasi wa CHADEMA, mara baada ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe, kutoa saa 48 za…