
Fountain Princess yabeba kiungo Iringa
FOUNTAIN Gate Princess iko kambini Dodoma ikijiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake, lakini kuna sura mpya zimeonekana kambini. Timu hiyo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya saba na katika mechi 18 ilishinda mechi sita sare mbili na kupoteza 10 ikikusanya pointi 20. Miongoni mwa sura mpya ni pamoja na kiungo mshambuliaji…