
Matukio yaliyotia doa Dar 2024
Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuufunga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametaja baadhi ya matukio yaliyoutia doa mkoa huo, yakiwemo yanayodaiwa kuwa ya utekaji. Hata hivyo, Chalamila amesema katika matukio hayo uchunguzi ulibaini si yote yameripotiwa kama ulivyo uhalisia,…