WACHIMBAJI WADOGO MBOGWE WASHAURIWA KUFUATA KANUNI ZA MSAADA WA KIUFUNDI
Wachimbaji wadogo wa madini Mkoa wa kimadini Mbogwe wametakiwa kuzingatia Kanuni za Msaada wa Kiufundi zilizotangazwa na Serikali ili kuongeza tija katika uzalishaji na kuepuka migogoro isiyo ya lazima na wawekezaji. Rai hiyo ilitolewa Machi 13, 2026 na Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa wakati wa ziara yake ya kikazi katika mgodi wa Peter Kisura…