Bei ya tumbaku yazidi kupaa mahitaji yakiongezeka
Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita bei ya tumbaku katika Soko la Dunia imeongezeka kwa asilimia 42.44 kati ya mwaka 2022 na 2025, ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza. Ripoti hiyo inayoangazia tathmini ya hali ya uchumi ya kila mwezi inaonyesha kuwa tani moja ya tumbaku imefikia dola za Marekani…