KAMPUNI YA MATI SUPER BRANDS YASAINI MKATABA NA BONGO RECORDS
Ferdinand Shayo ,Manyara . Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja na Kampuni ya Muziki ya Bongo Records inayoongozwa na Producer Maarufu PFunk Majani kwa lengo la kuwezesha Matamasha Mbali mbali ya Muziki wa Wasanii…