Siri Jenista Mhagama kuitwa kiraka
Dodoma/Dar. Wakati mwili wa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ukiagwa mjini Dodoma, Bunge limetaja chanzo cha kifo chake huku Rais Samia Suluhu Hassan akieleza sababu za kumwita kiraka. Mbali na hayo, viongozi wa dini wamezungumzia kwa undani maisha yake ya kiroho, wakieleza namna alivyojitoa kulitumikia Kanisa. Mhagama aliyefariki dunia Desemba 11, 2025, mwili wake umeagwa…