
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kubaka, kumuua mwanafunzi
Morogoro. Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro iliyoketi wilayani Kilombero imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Elopi Kibolile (33) baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumuua binti wa miaka 14 mwanafunzi wa shule ya msingi (jina limehifadhiwa) iliyopo kata ya Mchombe, halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero. Hukumu hiyo imetolewa na Jaji wa…