Mikakati mipya ya Baresi KMC
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama benchi la ufundi ni kuona ratiba hiyo itaanza kuanzia mwezi ujao. Akizungumza na Mwanaspoti, Baresi alisema kutokuwa na mechi yoyote kwa mwezi huu ni jambo…