MAADILI YA RAMADHAN YAHIMIZWA KUDUMISHWA MBEYA
Na Mwandishi Wetu, Mbeya MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amewahimiza viongozi wa dini ya Kiislamu kuendelea kusimamia na kuimarisha maadili kwa waumini hata baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Itunda ametoa wito huo wakati wa hafla ya Iftari iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Erica Yegella, iliyolenga…