Boni yai amtaka Mbowe asiwe mnyonge, akumbushia mchango wake
Hai. Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani wa Chadema, Boniphace Jacob, maarufu Boni Yai amesema kazi iliyofanywa na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa miaka 21 wanaithamini na kumtaka asikae pembeni kwa kuwa bado wanamuhitaji na wataendelea kumlinda. Bon Yai ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 29, 2025 wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa…