
TBA KUANZA OPARESHENI YA KUWATOA WADAIWA SUGU OKTOBA MOSI
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza kuanza oparesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu katika nyumba za Serikali kuanzia Oktoba 1, mwaka huu endapo watashindwa kulipa kodi zao za pango hadi Septemba 30. Wito huo umetolewa leo Septemba 10, 2025 Jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa TBA, Arch. Daud Kondoro, alipokuwa akizungumza na waandishi wa…