Tabora United, JKT Tanzania mzigoni leo ‘play off’
Wakati mchezo wa play off hatua ya kwanza kwa timu za Tabora United na JKT Tanzania ukipigwa leo Jumanne, presha imeonekana kutawala ndani na nje ya uwanja katika vita ya kubaki Ligi Kuu. Timu hizo zinatarajia kukutana mchezo wa kwanza kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabo-ra, huku Tabora United wakiwa ndio wenyeji wa…