
Serikali ilivyojizatiti kuondoa nishati isiyo salama ya kupikia
Dar es Salaam. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanyika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Watanzania wengi bado wanatumia isiyo salama, hali inayohatarisha afya zao na kuharibu mazingira. Hatua hiyo inaifanya Serikali kusimama kikamilifu katika utekelezaji wa mkakati unaolenga kufikia 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Katibu Mkuu wa Wizara…