Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya kinywe

Dodoma. Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Marekani wametangaza mpango wa utafiti wa kina wa madini ya kinywe hatua inayolenga kuongeza tija ya rasilimali za madini, kufungua fursa za ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza leo Jumatano Januari 21, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema ushirikiano huo ni sehemu ya mkakati…

Read More

Viongozi wa serikali ya kijiji waachia ngazi, kisa chatajwa

Mbozi. Viongozi wote wa Serikali ya Kijiji cha Namwanga kilichopo katika Kata ya Hezya, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamejiuzulu nyadhifa zao, wakilalamikia vitendo vya ukandamizaji na udhalilishaji wanavyodai kufanyiwa na viongozi wa ngazi ya kata. Viongozi hao, wakiongozwa na mwenyekiti wao, Japhet Mbukwa, walifikia uamuzi huo Januari 17, 2026, siku chache baada ya kukamatwa…

Read More

CRDB yaweka historia, yafungua tawi la kwanza Dubai

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imeweka rekodi mpya katika sekta ya fedha nchini na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati baada ya kuzindua huduma zake jijini Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Hatua hiyo inaifanya kuwa benki ya kwanza kutoka Tanzania na ukanda huo kutoa huduma katika Kituo cha Fedha cha Kimataifa cha Dubai (DIFC),…

Read More

Wanayopitia wapinzani nchini Uganda | Mwananchi

Dar es Salaam. Safari ya upinzani nchini Uganda imezidi kuibua mjadala miongoni mwa wadau wa siasa na haki za binadamu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Hali hiyo inatokana na mwendelezo wa hatua kali za Serikali ya Rais Yoweri Museveni dhidi ya wapinzani wake wakuu wa hivi karibuni, wakiwemo Robert Ssentamu maarufu Bobi Wine na Kizza…

Read More

Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa alaani migomo ya Urusi kwenye gridi ya umeme ya Ukraine – Global Issues

Volker Türk alisema alikasirishwa na mashambulizi mapya ya usiku kucha ambayo yaliondoa nguvu na joto katika miji mikubwa – ikiwa ni pamoja na Kyiv na Odesa – wakati joto lilipungua chini ya sifuri na raia kubeba mzigo mkubwa wa kile alichokitaja kama mashambulio kinyume cha sheria kwenye miundombinu ya kiraia. Alisema mgomo wa Urusi “unaweza…

Read More

TRA YAZINDUA MAFUNZO YA IDRAS, TAASISI 60 KUANZA KUTOA HUDUMA

:::::::: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Februari 9, mwaka huu,wakati wa uzinduzi rasmi wa Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) taasisi 60 zitakuwazimeunganishwa na mfumo huo ili ziweze kutoa huduma kwa wafanyabiashara. Hayo yamebainishwa Januari,21,2026 na Kamishna wa Kodi za Ndani, Alfred Mlegi kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo…

Read More

Familia ya mtalii aliyefariki ajalini yalia na Mahakama

Dar es Salaam. Familia ya raia wa Israel, Inbar Greidinger-Geisler, aliyepoteza maisha kwa ajali akifanya utalii katika Hifadhi ya Ngorongoro, imeiandikia barua Mahakama ya Wilaya ya Ngorongoro ikiilalamikia kutomchukulia hatua mshtakiwa wa kesi ya ajali hiyo. Wameeleza kuwa mshitakiwa anachelewesha kesi hiyo kutokana na kutofika mahakamani mara kadhaa na kuiomba ichukue hatua stahiki dhidi yake….

Read More