Bei vocha za simu za kukwangua zapanda
Dodoma. Bei ya vocha za simu za kukwangua zimepanda nchini kutoka Sh1,000 hadi Sh1,200 huku Serikali ikiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhakikisha watoa huduma hawapandishi bei kiholela. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Mei 29, 2024, Mbunge wa Viti Maalumu, Tunza Malapo amehoji ni nini kauli ya Serikali kuhusu kupanda kwa bei ya vocha…