Polisi mbeya kudhibiti madereva wasio na leseni
Mbeya. Ili kumaliza tatizo la ajali mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi limesema litaanzisha operesheni maalumu kuwabaini na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waendesha vyombo vya moto wasio na leseni. Hatua hii inakuja kufuatia kushirikiana na Chuo cha Ufundi Stadi (Veta) mkoani humo kuanzisha mafunzo ya udereva wa awali yatakayodumu kwa mwezi mmoja. Mkoa wa…