
Ukraine yatumia makombora ya masafa marefu – DW – 25.04.2024
Uidhinishaji wa mwisho wa sheria hiyo ambayo inajumuisha dola bilioni 61 kwa Kyiv kati ya jumla ya dola bilioni 95 za ufadhili unajiri baada ya miezi kadhaa ya mabishano ya kisiasa huku vikosi vya Ukraine vikikosa silaha na kuzidiwa katika uwanja wa vita. Baada ya kutia saini muswada huo na kuwa sheria, Biden alisema “Ninahakikisha…