Hamu ya mashabiki Yanga kuwaona mastaa laivu

YANGA leo Septemba 12 inafanya tamasha la saba la Wiki ya Mwananchi tangu lilipoanzishwa 2019, huku shauku kubwa ya mashabiki ni kutaka kuwaona wachezaji wapya laivu na burudani mbalimbali zinazoendelea. Mwanaspoti limefanya mahojiano na baadhi ya mashabiki wa Yanga ambao wamezungumzia furaha ya na namna tamasha hilo linavyozidi kuwa bora kila mwaka huku pia linawakutanisha…

Read More

Usalama noma kwa Mkapa | Mwanaspoti

USALAMA umezingatiwa katika hitimisho la Wiki ya Mwananchi, huku askari wakionekana katika maeneo yote ya nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa na biashara zikiendelea mdogomdogo. Hii yote ni kuhakikisha kwamba usalama wa mashabiki na mali zao unazingatiwa. Lakini, si hivyo tu yapo maeneo ambayo yamezungushiwa kamba za rangi nyekundu na nyeupe kama uzio ambayo ni…

Read More

Shabiki Simba amfuata Tshabalala | Mwanaspoti

Unayajua mahaba binafsi wewe? Soma hapa! Shabiki mmoja wa Simba ameshtua baada ya kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi akimfuata beki wake mmoja wa zamani. Shabiki huyo, Shakur Abubakar, ambaye amegoma asipigwe picha akihofia kuchukiwa na wenzake wa Simba, amesema bado haamini kama Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amehamia Yanga. Shakur amesema…

Read More

Simba nao wamo Mwananchi Day

LICHA ya mashabiki wa Yanga kuendelea kumiminika kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kushuhudia Kilele cha Wiki ya Mwananchi, lakini wale wa Simba nao wamo kujionea sherehe hizo za watani zao. Simba ambao tamasha lao lilifanyika juzi, Jumatano, lakini baadhi ya mashabiki wa timu hiyo wameonekana wakiingia uwanjani huku wakitaja msemo wao maarufu…

Read More

Watu 33,000 hufariki kila mwaka kuvuta hewa chafu

Dar es Salaam. Kwa Tanzania watu takribani 33, 000 hufariki dunia kwa mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa kupumua ambayo huchangiwa na uvutaji wa moshi unaotokana na matumizi ya nishati ya kupikia isiyosafi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba leo Ijumaa Septemba 12, 2025 wakati akizungumza kwenye Jukwaa…

Read More

Nishati safi itakavyookoa maisha, kufungua fursa za kiuchumi

Dar es Salaam. Kampeni ya nishati safi ya kupikia katika muktadha wa Dira ya Taifa 2025 inalenga kuokoa maisha, kuboresha afya za wanawake na watoto pamoja na kulinda mazingira. Kutokana na mikakati hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited MCL), Rosalynn Mndolwa-Mworia amesema kuna kila sababu kwa wadau na Serikali kuunganisha nguvu kuhakikisha Taifa linapata…

Read More

Mwongozo wa kupunguza swala ukiwa safari

Dar es Salaam. Miongoni mwa hukumu za safari ni kwamba inaruhusiwa msafiri kupunguza Sala (qasr) zenye rakaa nne ambazo ni Adhuhuri, Alasiri na Isha, kwa kuzisali rakaa mbili kila moja. Hii ndiyo ilikuwa ni Sunna na muongozo wa Mtume(Rehema na amani ziwe juu yake) ambaye hakuwahi kusali kamili (rakaa nne) katika safari zake. Riwaya zinazodai…

Read More