AMEIR HASSAN AMEIR: Atamba kumlipa kila Mzanzibari Sh500,000 kwa mwezi akiwa Rais
Dar es Salaam. Chama cha Makini au kwa kifupi Makini, ni matokeo ya kubadilishwa jina kwa Chama cha Demokrasia Makini. Bila shaka ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, wala si mvinyo mpya ndani ya chupa ya zamani. Agosti 25, 2024, Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho, uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nefaland,…