
Watu 33,000 hufariki kila mwaka kuvuta hewa chafu
Dar es Salaam. Kwa Tanzania watu takribani 33, 000 hufariki dunia kwa mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa kupumua ambayo huchangiwa na uvutaji wa moshi unaotokana na matumizi ya nishati ya kupikia isiyosafi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba leo Ijumaa Septemba 12, 2025 wakati akizungumza kwenye Jukwaa…