
Isanzu, Nathwani, vitani tena Arusha Open
NI vita ya kisasi kati ya Ally Isanzu anayeongoza mbio za ubingwa wa Lina PG Tour na vijana watatu kutoka Arusha; Jay Nathwani, Garv Chadhar na Aliabas Kermali walioichafua rekodi yake ya kutoshindwa katika viwanja vya Arusha Gymkhana. Isanzu anapambana tena na vijana hao katika mashindano ya wazi yajulikanayo kama Arusha Open ambayo yanaanza katika…