Ang’atwa mdomo na mchepuko wake
Kakamega. Mkazi wa Kakamega, Douglas Shisia amejikuta katika maumivu baada ya kung’atwa na kunyofolewa mdomo na mwanamke aliyetajwa kuwa ni mchepuko wake, alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake. Shisia (45) ambaye anaishi Nairobi na familia yake akiwamo mkewe na watoto, alisafiri hadi Shiatsala Kakamega, anapoishi mchepuko huyo ambaye jina lake halikufahamika Jumatano Aprili 2, 2025 kwa lengo…