Mamlaka za ardhi zatajwa kuchochea migogoro Tanga

Tanga. Migogoro ya ardhi inayohusisha umiliki wa viwanja na urasimishaji wa makazi imekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Jiji la Tanga, wakilalamikia taratibu za utoaji wa hati na usimamizi wa ardhi unaofanywa na halmashauri. Malalamiko hayo yameibuliwa katika Kliniki ya Sheria ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyoweka kambi ya siku saba mkoani Tanga,…

Read More

Hili la chakula shuleni, wazazi na wadau tuungane kwa pamoja

……. Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Chakula, mavazi na malazi ni mahitaji muhimu ya binadamu (basic needs). Ni mahitaji ambayo maisha ya binadamu hayawezi kwenda bila kuwa nayo, ndiyo maana watu wanapambana kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi kama kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, ujasiriamali kuhakikisha mahitaji haya yanapatikana katika ngazi ya familia ili kufurahia maisha. Katika…

Read More

Mradi wa umeme jua Shinyanga waingizwa gridi ya taifa

Shinyanga. Awamu ya kwanza ya mradi wa umeme jua katika Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imekamilika kwa asilimia 95.5 ikiwa sehemu ya mpango wa kupunguza changamoto ya umeme katika mkoa huo na mingine ya Kanda ya Kiwa. Hayo yameelezwa na leo Machi 13, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la umeme Tanzania (Tanesco) Lazaro Twange…

Read More

Ngoy awekewa mkataba mpya Namungo

WAWAKILISHI wa mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani, Fabrice Ngoy wamepokea mkataba mpya kutoka kwa uongozi wa kikosi hicho cha Wauaji wa Kusini ambao wanataka wakamilishe dili hilo mapema, kabla ya msimu huu wa 2025-2026, haujaisha. Mshambuliaji huyo aliyeitumikia Namungo kwa misimu mitatu, mkataba wake wa sasa unafikia ukomo mwishoni mwa msimu huu wa 2025-2026, ambapo…

Read More

WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF MKENDA AUPONGEZA UONGOZI WA MKINGA KUTENGA ENEO LA MJINI WA WANAZUONI GOMBERA

****** Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ameupongeza uongozi Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Amani Juma Kasinga kwa kutenga eneo la kujenga mji wa wanazuoni katika eneo hilo. Akizungumza mara baada ya kukamilisha ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo katika kampasi ya…

Read More