
Taasisi 16 za kilimo ikolojia hai kushiriki nanenane
WADAU wa kilimo ikolojia hai kutoka taasisi 16 nchini wanatarajia kushiriki katika maonesho ya kitaifa ya nanenane 2024 ambayo yaanza tarehe 1 hadi 8 Agosti mwaka huu mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yamesemwa na Mratibu wa Kikosi Kazi cha Mbegu Asili nchini, Abdallah Mkindi wakati akizungumza na mwandishi wa habari…