
NSSF yawatega waajiri, yatoa siku 14 wadaiwa sugu
Babati. Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii (NSSF) Mkoa wa Manyara, unatarajia kuanzisha operesheni maalumu baada ya siku 14 ya ukusanyaji wa madeni kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango ya wafanyakazi wao. Umesema lengo ni kuhakikisha haki za msingi za wanachama zinalindwa. Hayo yamesemwa leo Jumatano, Juni 18, 2025 na Ofisa Matekelezo mkuu wa…