
TFF inavyoingiza fedha kupitia Dube, Mukwala
Agosti 16, 2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kwa msimu wa 2024-2025 ikishirikisha timu 16 kuwania ubingwa unaoshikiliwa na Yanga. Kabla ya kuanza kwa ligi, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho Soka Tanzania (TFF) ilikaa kikao Agosti Mosi, mwaka huu kujadili na kufanyia maamuzi maoni ya maboresho ya kanuni za ligi kwa ajili ya toleo…