
Mahakama yamrudisha Mpina INEC | Mwananchi
Dodoma/Dar. Mgombea urais wa Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kuhusu shauri la maombi ya Kikatiba akipinga kuenguliwa katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mpina alienguliwa katika kinyang’anyiro hicho na INEC Agosti 26, 2025, hivyo…