New Stone na mtego wa kuepuka kushuka daraja ZPL
LICHA ya timu ya New Stone Town kuvuna alama tatu kwenye michezo 20 iliyocheza, bado ina matumaini ya kubaki salama katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), huku hesabu zao ni kushinda mechi 10 zilizobaki. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mussa Bajaka alisema endapo watashinda mechi hizo, watakuwa na alama 33 katika msimamo, ambao utawapandisha nafasi za…