
TANZANIA KUBORESHA KITUO CHAKE CHA WALINZI WA AMANI
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv SERIKALI imetangaza mpango wa kuimarisha mchango wake katika juhudi za kulinda amani duniani kwa kukiboresha Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Tanzania (TPTC) ili kiweze kutoa mafunzo kwa ngazi ya kitaifa, kikanda na kimataifa. Mkuu wa Jeshi la Anga Meja Jenerali Shabani Mani amesema hayo Juni 13, 2025…