
Dkt. Samia Ahahidi Miradi Mikubwa ya Maendeleo Kaliua, Tabora – Global Publishers
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza na maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, akieleza mipango mikubwa ya maendeleo endapo CCM itaendelea kushika dola katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika mkutano huo uliofanyika Septemba…