Unachopaswa kufanya kudai fidia kwa huduma, bidhaa zinazokiuka ahadi
Dar es Salaam. Watumiaji wa bidhaa wana haki ya kudai na kufungua shauri la kudai fidia wanapobaini zile walizopatiwa haziendani na walichoahidiwa, huku wakiwa na wajibu wa kupata maelezo ya awali kuzihusu. Hayo yameelezwa kwa nyakati tofauti leo Machi 13, 2025 na wadau wa mabaraza ya watumiaji wa huduma katika mjadala wa Mwananchi X Space…